Wednesday, July 7, 2010

HATARI NYINGINE HUWA TUNAJITAKIA WENYEWE KABISA!

Hii inanikumbusha sana hata pale maeneo ya Gairo ukitokea mkoani Dodoma ujapo Mkoani Morogoro, mara nyingi vijana hufanya hivi kama huyo kijana kwenye picha. Hushika mkono mmoja kwenye lori ili apandishe kwenye mlima kiurahisi na baiskeli zao, je lori likirudi nyuma ghafla???

No comments:

WATEMBELEAJI