Monday, July 5, 2010

HEATHROW AIRPORT - LONDON - UK.











Naikumbuka sana safari yangu nzuri ya London, na ukarimu wa wenyeji wangu na ninawashukuru sana kwa yote waliyo nitendea. Hapa tukiwa Heathrow Airport walipo nisindikiza nikijiandaa kwa safari ya kurudi Italy.




1 comment:

ray njau said...

Safari ni hatua;pole sana kwa safari na hongera sana kwa kuendelea kuitumikia vema jamii yako.

WATEMBELEAJI