Thursday, July 15, 2010

NIMEFIKA SALAMA KABISA NYUMBANI TANZANIA!

Ninamshukuru Mungu kwa kuniwezesha kusafiri salama kabisa, na kuwakuta ndugu jamaa wapo salama.
Pia nawashukuruni sana wadau wangu wote, kwa sala zenu. Tupo pamoja daima.

-ASANTENI SANA!

5 comments:

mangi said...

Kamwene Baraka;Makasi?
Hapa ndo nyumbani mwana kwetu ukumbuke kale ka msemo ka wasee wa kule Pwani:"JASIRI HAACHI ASILI NA MUACHA ASILI NI HASIDI NA HANA AKILI".Basi kale kanyama ka asili kasikotajwa jina kanaendelea kutafunwa kimyakimya bila mikimiki.
Pamoja we can;thank you sana!!!

Yasinta Ngonyani said...

Kumbe kaka Baraka ni mbena? Ok nami namshukuru Mungu kuwa umesafiri salama. Wasalimie wote utakaowaona.

Unknown said...

Baraka kafika kwetu lakini haonekani machoni pa wadau wake.
Baraka uko wapi?????????

Baraka Chibiriti said...

Hapana Dada Yasinta mimi sio mbena, mimi ni mtoto wa Makao makuu ya chama na serikali, sikuhizi wanasema watoto wa mjengoni.

Ila ninapenda sana mikoa ya Iringa na Mbeya na kusini kote.

ray njau said...

Agwe mswano!!
Wasalimie Changombe na Chinangali.

WATEMBELEAJI