Monday, July 12, 2010

WIMBO WA KISWAHILI ULIOIMBWA NA WATOTO WA KIITALY!

Wimbo wetu huu hapa; MUNGU NI PENDO. Nimejitahidi kuurekebisha lakini ndo mwisho wangu hapa, bahati mbaya kweli haujasikika wote vizuri, lakini basi furahini walau kidogo. Tutaona siku zijazo kama nitafanikiwa kupata video nzuri zaidi, kwa wazazi waliyochukua video ya wimbo huu.

No comments:

WATEMBELEAJI