Wednesday, September 15, 2010

AKINA MAMA NA BIASHARA YA ZABIBU NDANI YA DOM.


DODOMA - TANZANIA; Biashara kubwa ya akina mama wa Dom ni zabibu, wakati wa msimu huo wa zabibu. Dodoma nzima hutapakaa zabibu tu! na huwa bei poa sana kwa wingi huo.

No comments:

WATEMBELEAJI