Tuesday, September 21, 2010

DUNIANI KUNA VIJIMAMBO...YAI KUBWA KULIKO YOTE DUNIANI!

Duniani kuna vijimambo sana....yai la kukaanga lenye umbo kubwa kuliko yote duniani hili hapa...!!!!!

Wapishi nchini hapa Italia walitumia mayai yapatayo 1,500, kilo 100 za viungo na lita 7 za mafuta katika kazi nzima ya ukamilishaji wa msosi huo. Yai hilo lili liwa na watazamaji waliokuwepo katika eneo la tukio. Daaaahhh...lilikuwa tamu na ukizingatia limeingia kwenye Guinness World Records.

No comments:

WATEMBELEAJI