Friday, September 24, 2010

JK AKAA VUMBINI NA MLEMAVU - MAKETE.

JK akiwa ameketi chini ardhini ili kumsikiliza Mama Sara Mageni, wa Wilaya ya Makete, wakati alipowasili kuhutubia mkutano wa Kampeni. Mama Sara alikuwa akitoa shukrani zake kwa JK baada ya kununuliwa Bajaj ili kurahisisha shughuli zake, alipewa wakati JK alipotembelea Wilaya hiyo ya Makete mwaka jana.

No comments:

WATEMBELEAJI