Saturday, September 25, 2010

MKUU MJENGWA AKIWA KIJIJINI KWAKE NYEREGETE!

Mkuu Mjengwa akiwa Kijijini kwake Nyeregete, Mbarali - Mbeya.
Akisema; Maisha ya Kijijini ya utulivu sana na raha kweli kweli, kulala bila ulinzi wa mbwa au mtu. Hapa unaweza hata kulala mlango wazi tu! hakitokei kitu chochote kibaya.

-Hata mimi nasema maisha ya vijijini ni raha sana, na watu huwa wanajaliana sana (kuna ubinadamu sana). Kwakweli kwa picha hii umenikumbusha mengi sana mkuu Mjengwa, na hasa kabisa umenikumbusha kijijini kwangu.
Asante sana Mkuu Mjengwa kwa picha nzuri kama hii.

No comments:

WATEMBELEAJI