Thursday, September 23, 2010

MZEE MZIMA JK AKIYARUDI PAMOJA NA WAPIGA KURA WAKE!

Dr.Jakaya Mrisho Kikwete, akifurahi kwa kucheza ngoma pamoja na wananchi wa Kata ya Lupembe, mda mfupi baada ya kuwasili katika Kata hiyo ya Lupembe, Wilayani Njombe na kuwahutubia katika mkutano mkubwa wa Kampeni.

No comments:

WATEMBELEAJI