Wednesday, September 22, 2010

TUMETOKA MBALI WAJEMENI...NA BARUA KAMA HIZI!!

Tumetoka mbali sana wakuu... naamini tulio wengi tumepitia hatua hii, hebu chekini hapa ilivyokuwa enzi hizo za mapenzi.

-Hii nilikutana nayo sehemu...nikaipenda sana na imenikumbusha mbali sana!

1 comment:

Yasinta Ngonyani said...

Kwa kweli hata mie imenikumbusha mbali sana. Na sikumbuki ni lini nimeppata baruua ila tuache mchezo ni raha sana kipata barua kama hizo zilizoandikwa kwa mkono. Naona muda si mrefu hakuna mtu atayeweza kuandika kwa kutumia kalamu na karatazi.. Ahsante kwa kumbukumbu hii!!

WATEMBELEAJI