Tuesday, October 12, 2010

BADO SIKU MBILI TUKUMBUKE SIKU YA KIFO CHA BABA WA TAIFA!

HAYATI BABA WA TAIFA, MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE.

Bado siku mbili katika kufikia siku ya kumbukumbu ya kifo cha Baba yetu wa Taifa letu la Tanzania.
Kesho kutwa watanzania tutaadhimisha miaka 11 tangu kifo cha Mwasisi wetu wa Taifa letu, hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.

Je tunamkumbuka kwa vipi?

No comments:

WATEMBELEAJI