Thursday, October 21, 2010

DK.GHARIB BILAL AMTEMBELEA MAMA MARIA NYERERE!

Mgombea mwenza wa Urais wa CCM, Dk.Bilal, akisalimiana na Mama Maria Nyerere wakati alipofika nyumbani kwa Hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, eneo la Mwitongo kijiji cha Butiama. Leo Oktoba 21.
Dk.Bilal akiongozana na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mara, Mh.Makongoro Nyerere wakati alipofika nyumbani hapo kwa Baba wa Taifa, Mwitongo - Butiama.

No comments:

WATEMBELEAJI