Tuesday, October 5, 2010

MAJIBU YA MTIHANI WA MAARIFA YA DUNIA KAMA IFUATAVYO:

1). Kama tunatakiwa tusidrive wakati tukinywa, kwanini Bar kuna Parking?
-Parking zipo kwaajili ya kuwashusha wale wanaokuja kulewa Bar.

2). Kama neno ''Abbreviation'' linamaanisha ufupisho, kwanini lenyewe ni refu hivyo?
-Neno hilo refu ili kuonyesha umuhimu wa kuwepo kwa maneno mafupi.

3). Kama tunatakiwa kufanya Sex ndani ya ndoa tu, kwanini tunabalehe kabla ya kufunga ndoa?
- Tunabalehe kabla ya ndoa ili tutamani kuoa mapema.

4). Kwanini Gundi haigandi kwenye chupa yake?
-Gundi haigandi kwenye chupa yake, sababu gundi hiyo haitumiki kugandisha chupa.

5). Kama hela haioti kwenye miti, kwanini Benki zina matawi?
-Benki zinamatawi ili watu wapate hizo noti kiurahisi, kwa maana hizo noti hazioti kwenye miti ili kila mtu apate.

No comments:

WATEMBELEAJI