Tuesday, October 19, 2010

MAKALALA CHILDREN'S HOME IMETUUNGANISHA PAMOJA!


Marafiki wa Makalala, kituo cha watoto yatima kilichopo Mafinga - Iringa. Kimetuunganisha pamoja, kuwa nguvu moja katika kusaidia watoto yatima. Grupu hili tulikutana pamoja huko Makalala miaka miwili iliyopita. Jana jioni katika chakula cha jioni, tumekutana pamoja tena katika mji wa Bologna na kufurahi pamoja kwa kukumbuka mambo mbalimbali ya Makalala. Ni furaha kweli kweli!!!!

No comments:

WATEMBELEAJI