Tuesday, October 26, 2010

MTANGAZAJI SHABIKI KWELI KWELI MSIKIE HAPA:.....


Baada ya ushindi wa Timu yake ya Napoli dhidi ya Timu ya Juventus, nyumbani kwa Juventus anasema tumeshinda nyumbani kwako, uwanja wa Olimpiko; tunataka tufie humu humu na tuzikwe hapa hapa ndani ya uwanja; tafadhali tunaomba sana tena sanaaa....tuzikeni humu humu ndani ya uwanja wa Olimpiko. Duuh...!!! kweli ushabiki na ushindi ni utamu!

Kazi kweli kweli.....!!!!!

No comments:

WATEMBELEAJI