Monday, October 4, 2010

NDANI YA BWAWA LA MTERA - TANZANIA.




Watasha wakifurahia utalii kwa punda katika Bwawa la Mtera, lililopo katikati ya Dodoma na Iringa. Tanzania tuna utalii mwingi sana ila hatujui kuutumia kabisa, tofauti na watani wetu Wakenya, wenzetu hujishughulisha sana kwa swala hili la utalii.


No comments:

WATEMBELEAJI