Thursday, October 14, 2010

TANZANIA ONE:BABA WA TAIFA,MWL.JULIUS K. NYERERE!

Tanzania one; Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Awamu ya kwanza ni Nyerere katika historia ya Taifa letu changa, jina la Mwalimu ni nyota inayo ng'ara na ya kujivunia sisi Watanzania.
Tangia awali Mwalimu ni wa kwanza kupigania Uhuru na kuleta Amani, pia kutetea wanyonge kwa hali na mali. Tangu Tanu hadi leo ametujengea heshima kubwa katika Taifa letu, hatutachoka kukuita na kulitamka jina lako Baba. Tutakukumbuka daima Baba yetu mpendwa wetu wa Taifa letu.

No comments:

WATEMBELEAJI