Monday, October 4, 2010

ZAWADI YA GARI KUTOKA KWA DADA ILENIA WA MODENA - ITALIA.






























Asante sana Dada Ilenia kwa Zawadi nzuri sana kama hii kwa watoto yatima wa Makalala, ni zawadi ambayo itasaidia sana kwa huduma mbalimbali za hawa watoto. Tunakushukuru sana kwa moyo wako wa huruma kwa hawa watoto ambao wanahitaji sana msaada wetu kwa kukosa wazazi wao. Dada Ilenia ni mfano wa kuigwa, maana amekuwa akiwapenda sana watoto hawa kwa kuwahudumia kwa mambo mbalimbali. Dada Ilenia ni kutoka huko Modena - Italia.
Tunakuombea mema mengi katika maisha yako, na uendelee na moyo wako huo wa upendo siku zote, kwani kutoa si utajiri...!!!






No comments:

WATEMBELEAJI