Tuesday, November 30, 2010

AFANDE WA USALAMA BARABARANI(TRAFIKI) AKIWAIBIKA!


Kuongoza magari katika Jiji la Dar es salaam si kazi ndogo, kama tunavyofahamu fujo zilizopo katika Jiji hilo. Afande huyu alionekana katika camera ya Mtaa kwa Mtaa, (Jr.Michuzi), akiwajibika kisawasawa kama inavyotakiwa. Hongera zangu nyingi kwa Polisi huyu, maana kazi aifanyayo si ndogo...na utakuta watu kama hawa wanao jitola kwa moyo wao wote na kupenda sana kazi zao, mara nyingi hulipwa mishahara kidogo sana, ila kazi wazifanyazo ni kubwa sana. Nami nasema;
SHERIA DUNIANI....HAKI MBINGUNI!

No comments:

WATEMBELEAJI