Monday, November 22, 2010

BARAZA LA MAWAZIRI LILILOPITA!

Hili ndilo lililokuwa Baraza la Mawaziri lililopita muda wake. Rais JK anatazamiwa kutaja Baraza jimpya la Mawaziri siku yoyote kuanzia sasa....

1 comment:

Anonymous said...

Baraza jipya litakuwa na sura zipi? Ni lini litatangazwa?

WATEMBELEAJI