Monday, November 15, 2010

CHENGA ZA MAUZI.....ZINAUZI KWELI KWELI!!!!


Wakati huo nikicheza mpira, hakuna kitu nilichokuwa nakasirika kama kupigwa chenga za mauzi, kanzu na tobo....nilikuwa nakasirika sana, lazima nimtafute aliye nifanyia hivyo na nimlime kisawasawa. Angalia sasa hapa jamaa alivyopigwa chenga na hapo hapo na tobo juu yake mpaka aibu. Kazi kweli kweli....!!!!!

No comments:

WATEMBELEAJI