Mambo makubwa yanayotuadhiri Watanzania kwanza ni, ELIMU; hii inafanya wananchi wengi kuamini Siasa za porojo bila ukweli halisi, na hii itatupeleka pabaya. Kwakua wengi tunafuata mkumbo tu! bila kuwa makini kwa mambo yote.
Pili ni UMASKINI; unatufanya kukosa maamuzi kwa kurubuniwa kwa senti chache tu! bila kuangalia baadae kitatokea nini katika maendeleo ya maisha yetu kwa ujumla.
Tatu ni UBINAFSI; hasa kwa wale walioelimika kutokutaka kusimama katika kweli kwa maslahi yao bila kujali maslahi ya Taifa kwa ujumla.
No comments:
Post a Comment