Jamvi hili la kutoka Morogoro to Mikumi hadi Iringa moja. Napapenda sana mahali hapa ukitoka nje kidogo ya mji wa Morogoro kuelekea Iringa, kwa milima yake mizuri kwa pembeni hadi raha. Hapa ilikuwa mwezi wa 8 mwaka huu, wakati nikielekea Iringa - Mafinga - Makalala.
Nakupenda sana Tanzania!
No comments:
Post a Comment