Tuesday, November 16, 2010

KICHEKESHO CHA LEO!

Jamaa mmoja alikuwa anafanya kazi kwa mzungu mmoja hivi, siku moja akaagizwa kwenda kununua supu....wakati anarudi kununua supu hiyo akakutana na mbwa. Mbwa akahisi ile harufu ya nyama...akabweka! jamaa kwa kuogopa akamwaga ile supu, na kwakua alikuwa hapandishi Kiinglishi, mambo yakawa hivi wakati akimwambia Bosi wake;



Jamaa; The mbwa wu wu wu wuuuu...!!!! the mimi ogopa, the bakuli mbelengeje, the supu mwaaaa....!!!! Mzungu wa watu alibaki katoa macho tuu!



-Kazi kweli kweli...!!!

No comments:

WATEMBELEAJI