Thursday, November 25, 2010

MAKUMBUSHO- DAR ES SALAAM-TANZANIA. AGOSTI 2010.





Wageni wangu kutoka Cesena...walifurahia sana kutembelea Makumbusho yetu na kula vyakula vya asili ndani ya Makumbusho. Ilikuwa mwezi wa nane 2010.

Ni mhimu sana kutembelea Makumbusho yetu, yaliopo Dar es salaam. Utajifunza mengi sana ufikapo sehemu hiyo, maana kuna historia za makabila yetu yote ya Tanzania na nyumba za asili za makabila yote. Mimi zamani nilikuwa nadharau sana, lakini kumbe ni mhimu sana kutembelea nakujua historia mbalimbali zetu sisi toka enzi hizo za mababu zetu.
Upatapo nafasi tembelea Makumbusho!



No comments:

WATEMBELEAJI