Saturday, November 13, 2010

MANYONI....HADI KIJIJI CHA CHUMVI KINANGALI.


Mimi na wageni wangu katika moja ya mtaa ya Manyoni.

Shule ya msingi Tambukareli - Manyoni. Hapa anafundisha Mama yangu mdogo.






Hapa kwenye mbuga ya Kinangali, wanapo pika chumvi kwa wingi na nzuri kweli.




Watoto wakifurahia kupigwa picha.





Watoto wa kijiji cha Kinangali, hapa ni mahali wanapo pikia chumvi.






No comments:

WATEMBELEAJI