Friday, November 26, 2010

MITI MIZURI YA KUVUTIA.....NAIPENDA NA NAPENDA KUPANDA JUU!

Nilivyokuwa mtoto nilikuwa napenda sana kupanda juu ya miti kama hii, huko kijijini...ilikuwa ni raha sana kwangu na kwa watoto wenzangu! Miti hii naipenda sana!

No comments:

WATEMBELEAJI