Friday, November 26, 2010

MKUMI TO IRINGA....BARABARA NA UREMBO WA VIKAPU!


Rafiki yangu Francesco kutoka Modena-Italia, akipozi wakati wa safari ya kutoka Iringa kurudi Dar es salaam. Agosti 2008.
Maeneo haya huwa nayapenda sana kutokana na urembo mzuri wa wafanyabiashara wa vikapu na mambo mengine. Kupendezesha barabara kwa vikapu hivyo.

No comments:

WATEMBELEAJI