Monday, November 22, 2010

MTAJI WA MASKINI NI NGUVU ZAKE MWENYEWE!....

Nani kasema???....mtaji wa maskini ni nguvu zake mwenyewe? Ni mtaji wa... matajiri na mafisadi tu! Ingekuwa nguvu zake mwenyewe tungeweza kujikomboa kabisa, maana watu wanajituma sana ila basi tu!

1 comment:

Yasinta Ngonyani said...

Ni kweli watu wanajituma sana ....

WATEMBELEAJI