Mfanyabiashara wa nyama akipita katika mitaa ya Darajani-Zanzibar na pande la nyama ya ng'ombe, wakati akipeleka kuuza katika Bucha lake kwenye soko kuu la mjini Zanzibar. Ubebaji kama huu ni hatari sana kwa afya za watumiaji wa nyama hii. Je mabwana afya mnaruhusu ubebaji huu???
-Sufiani Mafoto.
No comments:
Post a Comment