Thursday, November 18, 2010

WAMEPENDEZA WENYEWE....KWA MALINGO NA UMALIDANDI WAO!

Wamasai wa Kibrashe- Handeni - Tanga, katika kucheza ngoma yao, ambayo inafurahisha sana; kwa umalidadi wao na malingo yao; acha tu! we mwenyewe utapenda tu!

No comments:

WATEMBELEAJI