Thursday, December 9, 2010

WANAWAKE WA SHOKA...HAWANA UTANI KATIKA KULIRUSHA PIPA!

Hapa ni wanawake tupu...hawana utani katika kazi yao ya kulirusha pipa. Ni wasichana wadogo tu, lakini mambo yao makubwa! Hongera sana,.

1 comment:

Anonymous said...

Lakini hawa hatari wanaweza kujisahau wakaanza kujipodoa na kusema wenzao huku pipa linaanguka na wala hawana habari.

WATEMBELEAJI