Friday, December 3, 2010

WEEKEND HII KATKA MITAA HII YA BARAFU NA BARIDI KWA WINGI!







Naenda mapumziko kidogo tu! Hata kama baridi na barafu kwa wingi, lakini sehemu hizi nazipenda sana nipatapo chansi tu hutembelea maeneo kama haya, kwa kupumzisha akili kidogo. Kesho asubuhi mapema nitasafiri na kupumzika kwa siku mbili tatu, kwahiyo nawaombeni mnivumilie kidogo kutokuwepo kwa siku hizi. Naamini Jumanne tutakuwa pamoja tena kuendeleza kijiwe hiki, maana huko ni milima na mabonde mara nyigi mtandao huwa unasumbua sana! Samahani sana kwa usumbufu huu.
Tupo pamoja daima!


No comments:

WATEMBELEAJI