Monday, January 3, 2011

BADO NAENDELEA KUTOKUWEPO HAPA MPAKA 23/01/2011.

Habari wapedwa Wadau wangu, na heri nyingi sana kwa Mwaka Mpya huu wa 2011.
Napenda kuwataarifu kuwa nimekuwa kimya kwa muda mrefu sana, kutokana na majukumu mengi sana niliyo nayo hapa nyumbani Tanzania. Hivyo kushindwa kabisa kuingia katika mtandao. Napenda kuwaombeni samahani sana kwa usumbufu huu, maana sina jinsi kabisa, ila nawakumbuka daima siku zote, nipo nanyi daima kwa mawazo.
Nawaombeni mnivumilie mpaka hapo tarehe 23/01/2011. Hapo ndipo nitarudi mtandaoni daima!

Nawatakieni kila lakheri nyingi sana katika mwaka huu mpya wa 2011, uwe wa mafanikio mengi mema kwenu ninyi nyote!
Asanteni sana.
Wenu wa siku zote.
Chibiriti.

No comments:

WATEMBELEAJI