Friday, January 21, 2011

BOLOGNA TUKITUA HAPO JANA KWA SHIDA KIDOGO!

Kati ya mvua na barafu kwa mbali...lakini salama. Tunamshukuru sana Mungu..hadi makofi kwa pairoti.

1 comment:

Unknown said...

Tulikutana na hali hiyo pia pale Milan... Tumerudi salama Tanzania. Salamu Cesena. Dominic

WATEMBELEAJI