Friday, January 21, 2011

BONGO TO CESENA.....KURUDI HUKU NI HUDHUNI TU!


Baba yangu mdogo na wadogo zangu....hapo juzi usiku walipo nisindikiza njia panda ya Bongo..siku ya kwenda TZ huwa ni furaha sana tena sana, sasa siku ya kurudi Ugaibuni huwa ni shida na tabu kweli kweli...ka hudhuni kwa mbali! Lakini basi ndo maisha yenyewe yanavyokwenda.


Hapa jana mchana nikitua Bologna....biashara imeisha ya TZ...mpaka sijui lini. Nikifikiria mpaka homa napata, inapanda kabisa....jinsi ninavyo ipenda nchi yangu ya TZ.

No comments:

WATEMBELEAJI