Friday, January 28, 2011

MTOTO HULELEWA, HUTUNZWA NA BABA NA MAMA....

USTADHI NA MTOTO MGONGONI....SAFI SANA HII NIMEIPENDA SANA!

Hii inaonyesha jinsi jukumu la kutunza mtoto linavyotakiwa kuwa la wazazi wote wawili Baba na Mama, na wala si Mama tu alee peke yake tu, hata akina Baba wanastahili...angalia hapa sasa Ostadhi akionyesha mfano kwa akina Baba.

No comments:

WATEMBELEAJI