Thursday, January 27, 2011

UMELALA UKAOTA UMEKUFA!

RAFIKI YANGU MMOJA ANA VITUKO SANA HUWA ANANITUMIA VICHEKESHO KAMA HIKI HAPA;

Umelala ukaota umekufa, uko mbinguni...ila malaika akakwambia una nafasi ya kurudi tena Duniani. Ila uchague ukirudi huko tena urudi kama Kuku au Bata, ukaona bora uwe Kuku. Ukaambiwa lazima ufanye mazoezi ya kutaga mayai, basi ukasukuma...likatoka yai zuriii, ukasukuma tena la pili zuri sana. Ukaamka kucheki...dah!!!! kumbe umeji help!

No comments:

WATEMBELEAJI