Saturday, January 22, 2011

WAZEE WA NGERENGERE WANAJITEGEMEA......

Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere alipenda sana kutumia Falsafa ya kila mtu kujitegemea kwa kufanya kazi, ambapo katika miaka ya 70 alikuja na ''Uhuru na Kazi'' hapa Mzee Suta Salum (74) anayeishi katika Kata ya Ngerengere, Wilaya ya Morogoro. Ni kati ya wazee wachache wa Kata hiyo walioamua kuendeleza Falsafa ya Mwalimu Nyerere. Nami nasema; Tujitume kwa bidii tutafanikiwa, bila hivyo hatuywezi chochote!

2 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Kujitegema, kazi na uhuru na kujituma.... kwakweli bila hivi hakiendi kitu. Ehhhee kaka Baraka ni raha umerudi:-)

Baraka Chibiriti said...

Asante sana Dada Yasinta, nimerudi salama salimini kabisa, mambo yote yameenda vizuri.

WATEMBELEAJI