JUA LILE LITELEMKE MAMA...NYOTA NAZO ZITELEMKE MAMA!
Kuna jamaa yangu mmoja hivi karibuni alinikumbushia wimbo tulio kuwa tukiimba shuleni wakati wa mchaka mchaka, nikaukumbuka sana huu wimbo wa; Jua lile litelemke mama....nyota nazo zitelemke mama! aiyaaa iyaaaa iyaaa iyamama. Nikifikiria hata maana yake huwa sioni kabisa, lakini tulikuwa tunaupenda sana kuimba, karibu kila asubuhi.
1 comment:
Ahsante kwa wimbo nami umenikumbusha ni kweli kila asubuhi huu wimbo ulikuwa haukosekani kabisa.
Post a Comment