Friday, February 18, 2011

MAAFA YA MABOMU YA GONGO LA MBOTO DAR ES SALAAM.

Wakazi wa Mtaa wa kwa Mwema, Pugu Kajiungeni - Jijini Dar es salaam...wakitazama baki la bomu lililokita kwenye ardhi eneo hilo kufuatia mlipuko uliotokea Gongo la mboto.





Baadhi ya watoto walio potezana na familia zao, wakiwa kwenye hema kwenye kambi ya muda, kwenye uwanja wa Uhuru Jijini Dar es salaam.



Baadhi ya watu wakiangalia moja ya nyumba zilizoteketezwa na mlipuko wa mabomu, kutoka ghala la kuhifadhia silaha za kijeshi, maeneo ya Gongo la mboto.
-Picha na Fadhili Akida.





No comments:

WATEMBELEAJI