PAMOJA NA RAFIKI YANGU (MDAU) SHEBI....CHALINZE. 2011.
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgvgXYFIOQZ9EvICfvJE9jc3bmCMNQf6qxATU3dFu0Fky3m5l22Xv0DTgBwLV9XSSUo5DhOvZXuCBG6Xrzs3zdQPuh2YOM8WrBI9rFD7MDmk8Q_ltRrvUXEH_80CvYJXP2hs58hS8D5Amc/s400/CHALINZE.2.jpg)
Pamoja na rafiki yangu sana Shabani wa hapo mjini Chalinze, Januari 2011. Nikikutana nae ni furaha sana, ni kucheka kwenda mbele. Chalinze siwezi kupita bila kusimama kwake, yeye anasema la sivyo gari haliwezi kwenda lazima likate mafuta tu..hata kama ni full tank.
Jamaa safi sana ana moyo wa pekee, upitapo Chalinze usikose kumtembelea katika Hotel yake, utapata chakula safi sana na huduma nzuri sana.
No comments:
Post a Comment