Tuesday, March 15, 2011

BARAFU NI BALAA KWA AJALI ANGALIA HAPA.

MIMI BINAFSI NAIOGOPA SANA, UNAWEZA UKAWA UNAFUNGA BREKI KWA NGUVU ZOTE, LAKINI GARI LINAENDA TUU...ILISHAWAHI KUNITOKEA, NILIBAKI KIDOGO SANA KUTUMBUKIA KWENYE KORONGO REFU SANA.

1 comment:

Angela said...

MMMM JAMANI NAKUOMBA USIENDESHE WAKATI WA BARAFU LOL NI HATARI SANA

WATEMBELEAJI