Katika matembezi kidogo ya kuangalia miji ya wenzetu ilivyo, leo kamera ya KAZI YAKO NI JINA LAKO, ndani ya mji huu wa Ferrara ni katika kushangaa kidogo katika kusafisha macho tu! kwa siku mbili. Mji safi na wakuvutia uliopendeza!
- Mara nyingi huwa nikitembelea sehemu najaribu kidogo kupata picha...kufananisha na kwetu vile? Wapi Bongo, Arusha, Mwanza, Dodoma, Shinyanga nk. Duuhhh...!!!! najikuta nanywea mwenyewe bila kupata picha kisawasawa kwa; Usafi, Umaridadi, Mipangilio nk.
Hasa kazi kubwa ya usafi tukiweza na sisi katika miji yetu....itakuwa mswanu duuu, maana miji si mibaya sana, ila usafi ndo mgogoro, hapa utaona aibu tu mwenyewe kutupa takataka, hata uwe mchafu vipi. Kazi na safari ndefu bado tunayo!
No comments:
Post a Comment