Saturday, March 12, 2011

MAISHA HAYA YANA TABU ZAKE....ACHA TU!



WAKATI MWINGINE YANATISHA KWELI KWELI!!!
Wakati mwingine huwezi kuamini kabisa kuwa binadamu wanaweza kuishi katika nyumba kama hizi, lakini ndio ukweli wenyewe. Lakini ndo hivyo tena kuwa watu wanaishi kama hivi uonavyo katika nyumba hizi. Kuna mtu mmoja kijijini alishawahi kuniuliza swali; Hivi sisi tunaishi kweli kwa hali kama hii au tunasindikiza wenzetu tu kila kukicha???
-Pichani ni mdau mwanaharakati Shy-Rose Bhanje, pamoja na wanakijiji wa huko Tanga vijijini.

1 comment:

Mama Augusta said...

KWA KWELI NI MAISHA YA KIMASKINI SANA KWA KWELI KUNA HAPA TANZANIA WANAISHI MAISHA MAGUMU SANA HADI HURUMA LOL NAIMANI DADA BHANJI ATAKUWA AMEWATOA KIDOGO KWA SIKU HIYO KWA KWELI PIA NAPENDA KUMPONGEZA HUYU DADA KW AROHO YAKE YA UTOAJI MISAADA YA HAPA NA PALE INGAWA NI KIOFISI LAKINI PIA KUNA PRIVATE HELP AMBAZO HUWA ANATOA BIG UP SISTER

WATEMBELEAJI