Hapa kuna kuoga humo humo, kunawa humo humo, kufua humo humo, kuoshea vyombo humo humo, kujisaidia humo humo, kunyweshea mifugo humo humo na hata maji kwa matumizi ya nyumbani, kisha maji hayo yanatiririka kuelekea Ziwa Victoria.....na hatujui kabla ya Ziwa Victoria labda maji haya yanapitia Vijiji vingine tena kama kawaida ya mito mingi......Watanzania kazi bado tunayo kubwa sana ili kujikomboa na mambo kama haya.
- Picha na Gsengo, wa Mwanza.
1 comment:
KWA KWELI SIDHANI KAMA HAWA WATU WANAPENDA MAISHA HAYA ILA NDO HAWANA JINSI HUDUMA MUHIMU HAWANA SASA NDO WOTE WANAISHIA HAPO LOL NI HATARI SANA KWA AFYA ZAO ILA MUNGU WETU ANAONA KILA CHOZI LAO HUSIKII HOMA YA MATUMBO HAPO WALA NINI NI AFYA KWA KWENDA MBELE. ILA USHAURI WANGU KWA SERIKALI KUWAANGALIA WATU HAWA KWA UKARIBU
Post a Comment