MCHANGANYIKO: DR.MPONDA NA LUKUVI..KUHUSU LOLIONDO!
Hapa kuna mchanganyiko kwakweli (Waziri gonganzz) Dr.Mponda, Waziri wa afya alisema; Serikali yasitisha huduma za Babu wa Loliondo, leo tena tunasikia William Lukuvi, Waziri wa sera na Bunge, anasema; Huduma za Babu wa Loliondo kuendelea, ''ni maneno ya Mawaziri wawili walioko katika Baraza moja la Mawaziri na wote wanawakilisha Serikali ya JK!'' Vipi tena hii????
2 comments:
hakuna cha kushangaa hapo, hiyo ni Serikali ya mtanashati JK, hata mawaziri lazima wawe kama yeye tu, wababaishaji tu.
KWA KWELI KAMA MTU UNAYO NAFASI NI BORA KWENDA KUPATA HIYO DAWA SIDHANI KAMA WATU WOTE WALE HADI WENGINE WANAFIKIA KUKODI HELCOPTER IWAFIKISHE WHICH MEANS KUNA KITU CHA MAANA KULE
Angela
Post a Comment