Saturday, March 12, 2011

MNAPIGANA HADHARANI EHH....TWENDENI KWA PILATO!

Afande akiwapeleka kwa Pilato watuhumiwa, ili wakapate hukumu yao, pale alipowakuta na kosa la kupigana hadharani, mjini Moshi.

- Picha na Robert Okanda.

1 comment:

Mama Pamela said...

KWANZA NI AIBU KWA WTU WAZIMA KAMA HAO KUPIGANA HADHARANI NA NI KOSA KISHERIA KUPIGANA HADHARANI.

PIA HUYO POLICE WA KIKE NAMPA BIG UP KWA KUWAKAMATA MANJEMBA KAMA HAYO NA KUYAPELEKA MBELE YA SHERIA INAONYESHA NI KWA KIASI GANI WANAWAKE TULIVO JASIRI.

WATEMBELEAJI