Saturday, March 19, 2011

USINGIZI HAUNA ADABU KABISA....POPOTE PALE!

Baada ya uchovu wa kazi nzito, au sijui njaa, au kushiba zaidi yote haya...kausingizi huwa kanasumbua sana!....ila jamaa kazidisha kweli hata hapa anapiga mbonji kweli? Bila wasiwasi wowote? Je akiliwasha hapo jamaa, usalama upo hapo kweli???
Kazi kweli kweli...!!!!!

No comments:

WATEMBELEAJI