Wasanii wa Kijiji cha Kibogora wakicheza kwa furaha ngoma ya asili ya kabila la Wahangaza, wakati Waziri Mkuu alipozindua shule ya Sekondari ya eneo hilo, jana Machi 8, 2011.
Baadhi ya wananchi wa Kijiji cha Murusagamba Wilayani Ngara, wakimsikiliza kwa makini Waziri Mkuu wakati alipohutubia mkutano wa hadhara Kijijini hapo.
-Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu.
No comments:
Post a Comment